Habari kwa njia ya barua pepe

Tunatuma habari kwenye orodha ya anwani angalau mara mbili kwa mwezi:
- kinachojili huko Taizé;
- taarifa kuhusu mikutano na shughuli katika nchi mbalimbali;
- marekebisho mapya kwenye utando wetu;
- matoleo mapya, muziki na santuri(CDs), n.k.

Mosi, andika barua pepe yako na chagua lugha. halafu:

- kwa kupokea habari kutoka Taizé bonyeza Kujisajili.

- au, kwa kuondolewa kwenye orodha ya anwani, bonyeza kutojisajili (hakikisha unaandika barua pepe ileile kama ambayo habari hiyo ilipotumiwa!).

Wakati utakapojisajili au kutojisajili kwenye orodha ya anwani, utapokea ujumbe kwenye anwani yako ikikutaka uthibitishe. Itakulazimu ujibu ujumbe huo kwaajili maombi yako yafanyiwe kazi.

Printed from: http://www.taize.fr/sw_article6835.html - 22 October 2017
Copyright © 2017 - Ateliers et Presses de Taizé, Taizé Community, 71250 France