Tunatuma habari kwenye orodha ya anwani angalau mara mbili kwa mwezi:
kinachojili huko Taizé;
taarifa kuhusu mikutano na shughuli katika nchi mbalimbali;
marekebisho mapya kwenye utando wetu;
matoleo mapya, muziki na santuri(CDs), n.k.
Mosi, andika barua pepe yako na chagua lugha. halafu:
kwa kupokea habari kutoka Taizé bonyeza Kujisajili.
au, kwa kuondolewa kwenye orodha ya anwani, bonyeza kutojisajili (hakikisha unaandika barua pepe ileile kama ambayo habari hiyo ilipotumiwa!).