Unaweza kupata uchaguzi mpana wa makala mbalimbali kwa kiingereza au kifaransa

Mkutano mjini Berlin

Kutokana na mwaliko wa makanisa na meya, mkutano wa 34 wa vijana wa Ulaya utafanyika Berlin kuanzia tarehe 28/12/2011 mpaka 01/01/2012. Kwa watu wengi wa Mashariki na Mangharibi, mji wa Berlin ni mfano kwasababu watu wake hawakukatishwa tamaa, hata katika wakati mkugu. Kanisa mwenyeji ni la mchanganyiko. Na watu wengi wa Berlin hawana ufahamu au wanaufahamu mdogo wa imani ya Kikristu. Hii ni sehemu ambayo wote wanaweza kujisikia nyumbani. Je, mkutano waweza kuonyesha ishara kuwa Kanisa linaweza kuwa sehemu ya ukarimu wa watu wote?