Kigali
Taarifa MuhimuTarehe: Kuwasili, kukaribishwa na sala ya kwanza tarehe 14 Novemba 2012, kuondoka Novemba 18 2012. Washiriki wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 30. Malazi yatatolewa na familia wenyeji, (katika kumbi za mashule/vyuo kama itakuwa muhimu). Vyakula vya kawaida vitatolewa: kifungua kinywa sehemu ya malazi; chakula cha mchana na cha jioni mahali pa mkutano pamoja baada ya sala za mchana na za jioni. Ratiba ya MkutanoJumatano 14.11.2012 Kukaribiswa kati ya saa 1 asubuhi na 6 mchana na usafiri kwenda parokia wenyeji Alhamis 15.11.2012, Ijumaa 16.11.2012, Jumamosi 17.11.2012 Saa 2:00 asubuhi: Sala ya asubuhi kwenye parokia, ikifuatiwa na ratiba ya asubuhi parokiani: "Kutembelea na mikutano na watu wa matumaini katika jamii yetu" Jumapili 18.11.2012 Ibada katika parokia walezi Taarifa kwa:
![]() |