Kigali
Taarifa kwa vijana waishio nchi nyingine za AfrikaIli kusaidia kufanikisha mkutano huu, itakuwa vyema kujitoa kabla na kuheshimu kuingia kwenye mtindo wa maisha ya wenyeji wetu. Kuongeza wigo wa sala zetu na kumuomba Mungu kututayarisha ili kutambua hazina za ubinadamu zilizopo hata katikati ya vipindi vigumu ni njia muhimu ya kuanza maandalizi. Pasi ya kusafiria na visa: Kuchangia Gharama: Safari: Mwisho wa kujiandikisha: Hifadhi tangazo: |