Mchango: Kwa wale waishio Kigali wachangie kwenye gharama za mkutano, wale kutoka nje ya Kigali watajigharamia gharama za usafiri kwenda Kigali na kurudi, hakuna mchango mwingine ambao utahitajika.
Mwisho wa kujiandikisha:
15 Octoba, 2012 kupitia parokia yako au mlezi wa vijana
Hifadhi tangazo: