Nairobi: Tafakari na Bruda Alois
Mkutano wa Nairobi ulifanyika kuanzia tarehe 26 hadi 30 Novemba 2008
Kila jioni ya mkutano, Bruda Alois alitoa tafakari
Tafakari hizo zimeandikwa hapa.Alhamisi 27 Novemba
Ni furaha kubwa sana kujumuika nanyi hapa Nairobi.Tuko hapa pamoja kujiuliza swali:Je ni yapi yametuleta kujumuika na wengine leo?
Kwa miezi kadhaa, zaidi ya parokia sabini zimefanya kazi kwa pamoja kufanikisha makaribisho haya.Tungependa kutoa shukrani kwa wote ambao wamejitolea kuwezesha kuwepo kwa mkutano huu.
Kuna (...)
24 December 2008