Unaweza kupata uchaguzi mpana wa makala mbalimbali kwa kiingereza au kifaransa

Vitabu; rekodi; vitu kutoka kwenye karakana zetu…

“Wito wetu kama jumuiya umetufanya tuaumie kuishi kwa kutegemea kazi zetu, hatupokei michango, urithi, zawadi- wala chochote. Ujasiri uliopo wa kutokuwa na dhamana ya rasilimali yoyote kwa ajili yetu, bila uwoga wa umasikini unaoweza kutokea, ni chanzo cha nguvu isiyopimika.”

The sources of Taizé/Vyanzo vya Taizé ukurasa 65