TAIZÉ

Maelezo mengine

Unapowasiliana na Taizé, anuani kadhaa za barua pepe zinapatikana. Ni vema kwa ufanisi ikiwa utaandika kwenda anuani inayohusu shida yako. Ikiwa upo nje ya Ulaya na ungependa kupiga simu, tafadhali angalia tofauti ya muda kwa mahali ulipo kama inavyooneshwa kwenye ukurasa wa ”Kuwasiliana na Taizé”.

Unataka kuandaa sala na nyimbo kutoka Taizé. Je, hakimiliki inasema nini? Ukurasa wetu wa ”hakimiliki” una maelekezo ya kutosha kuhusu mambo haya, nyimbo, picha na maandishi ya tovuti.

Inawezekana kushiriki kusaidia kazi inayofanywa kuwasaidia watu masikini sana.tazama ukurasa wetu wa “operesheni ya matumaini”.

Usipopata jibu la swali lako katika sehemu hii au sehemu nyingine za tovuti, inawezekeana kuwasiliana kupitia (info->info taize.fr)