TAIZÉ

Kwenye chemichemi ya imani

“Tutaendelaje kusali pamoja kwa mtindo huu?” Watu ujiuliza swali hili mara kila wanaposhiriki sala za Taizé kwa juma moja au kushiriki mikutano ya Taizé mahali popote. Hapa ni maelezo muhimu katika kuandaa sala, cha msingi ni kuwa sala nyingi na nyingi ni za mtindo wa kutafakari.

Brother Roger alisisitiza mara nyingi jinsi nyimbo na muziki vilivyokuwa muhimili muhimu katika maisha ya Taizé tangu mwanzo mwa Jumuiya.Hapa kwenye mtandao kuna sehemu ya kujifunza nyimboi za tafakari na kujifunza jinsi ya kuimba nyimbo hizo.
Umuhimu wa ukimya, jinsi ya kuandaa sehemu ya kusalia na jinsi ya kutumia picha /snamu(Icons) katika ibada, Redio na mengine mengi.