Barua kutoka Cochabamba
Imetayarishwa kwa miezi na parokia,familia za jijini na mazingira yake,mkutano wa vijana wa amerika ya kusini ulikuwa umeandaliwa huko cochabamba, Bolivia, kutokea Oktoba 10-14, 2007. Iliwaleta pamoja washiriki 7000 kutoka maeneo mbalimabli ya Bolivia, kutoka nchi zote za amerika ya kusini na kutoka nchi za ulaya. Hii “Barua kutoka Cochabamba” ya mwaka 2008 ilisambazwa kwa mara ya kwanza wakati wa mkutano wa ulaya huko Geneva mwishoni mwa Desemba 2007. Upatanisho ni, kichocheo
Huko Bolivia (...)
16 June 2008