Kuimba kwa tafakari
Kuimaba ni kitu cha muhimu sana katika kumtolea Mungu sifa. Kuimba nyimbo fupi, kwa kurudia rudia, huzifanya za tafakari. Kwa kutumia maneno machache nyimbo hizi huonyesha msingi wa kweli wa imani, ambao haraka haraka huingia na kukaa akilini. Jinsi ambavyo maneno yanaimbwa kwa mara nyingi, ukweli huu hupenya taratibu ndani ya ubinadamu wetu mzima. Kwa hiyo kuimba kwa kutafakari kunakuwa njia yetu ya kumsikiliza Mungu. Kunamruhusu kila mmoja wetu kushiriki kwa pamoja wakati wa sala na (...)
14 August 2007