Historia Fupi: Historia, mwanzo
Mambo yote yalianza mwaka 1940, akiwa na umri wa miaka ishirini na tano, Bruda Roger aliondoka Switzerland, nchi aliyozaliwa, na kwenda kuishi Ufaransa, ambapo mama yake alitokea. Kwa miaka mingi alikuwa mgonjwa, akisumbuliwa na maradhi wa kifua kikuu. Wakati wote wa kipindi hicho kirefu cha ugonjwa, wito wa kuunda jumuiya ukua ndani mwake.
Wakati vita kuu ya pili vya dunia ilipoanza, alipata msukumo kuwa, bila kupoteza wakati aanze kusaidia watu waliokua wakipitia kipind hicho cha (...)
24 February 2011