Tafadhali chagua hapa kwenye menyu halafu chagua Nenda !
CD zilizorekodiwa Taizé zinapatikana kuhifadhiwa kihalali kutoka kwenye maduka makuu ya mtandaoni. Zimeorodheshwa kwa neon moja “Taizé”, (zaweza kuwa zimeandikwa Taizé au la), kama jina la msanii.