TAIZÉ

Duniani kote

Ni kwa namna gani tunaweza kuendelea kusali pamoja? Mara kwa mara watu huuliza swali hili baada ya kukaa Taizé, au baada ya kushiriki mikutano nje ya Taizé.
Mabruda ujitahidi kuwasadia vijana kuweza kuendeleza moyo mpya was ala amaboa wameugundua ndani yao, hasa wanaporudi katika jumuiya na makanisa yao.. Hija mbali mbali wanazofanya mabruda ni katika kuamusha moyo huu wa sala.

Katika sehemu hii unaweza kupata habari za mikutano mbali mbali ambayo itafanyika Afrika, ulaya na hija mbali mbali ambazo mabruda watafanya katika kuendeleza mshikamano.

Kila mwisho wa mwaka mkutano mkubwa katika moja ya miji mikuu ya ulaya.