14 August 2007
Ni kwa namna gani tunaweza kuendelea kusali pamoja? Mara kwa mara watu huuliza swali hili baada ya kukaa Taizé, au baada ya kushiriki mikutano nje ya Taizé.
Hapa sasa ni baadhi ya vitu vya muhimu ambavyo vitakuwezesha kuandaa sala ambayo ni ya kutafakari, na “ambayo haina mwanzo wala mwisho”.To begin the prayer, choose one or two songs of praise. Zaburi
esu alisali sala hizi za zamani za watu wake. Mara zote wakristu wamepata uzima kwa sala hizo. Zaburi hutuweka katika ushirika wa hali ya juu na waamini wote. Furaha na huzuni zetu, imani yetu (...)
14 August 2007
Inapowezekana, inapendelewa kukutana kanisani, na kupafanya pa kupendeza na kuvutia. Jinsi mahali palivyo andaliwa ni muhimu sana kwa ubora wa sala.Katika hali ya kawaida siyo lazima kufanya ukarabati wa kanisa lote! Mazingira mazuri ya sala yanaweza kuandaliwa kwa namna rahisi sana. Kama hakuna uwezekano wa kukutana kanisani, ni muhimu kutengeneza mahali pa sala kuwa shwari kadiri (...)
14 August 2007
Alama za picha huchangia uzuri wa kuabudu. Ni kama madirisha yanayotuwezesha kuona uhalisia wa ufalme wa Mungu, na kuufanya kuwepo katika sala zetu humu duniani.
Japokuwa alama za picha ni taswira, siyo vitu vya maonyesho au mapambo ni zaidi ya hapo. Ni alama zinazoonyesha kitu fulani kikubwa, uwepo ambao hupelekea macho ujumbe wa kiroho ule ule ambao hupelekwa na neno masikioni.
Kulingana na teolojia ya karne ya nane Mtakatifu ‘John Damascene’, msingi wa alama za picha ni kuja kwa Kristo duniani. Wokovu wetu (...)