Bruda Alois 2010: Barua Kutoka China
Katika kila binadamu kuna hangaiko
Ingawa tofauti ya tamaduni yaweza kutengeneza mipaka kati ya mabara, binadamu wote ni famila moja [1]. Safari yetu ya China imeipa nguvu udhihirisho huu ndani yetu. Licha ya tofauti ya tamaduni zetu, umri wetu au historia yetu wote tuna hamu, tuna kiu ya uhai tele.
Mara nyingi Biblia huzungumzia kiu hiyo. Biblia uona kiu hiyo kama alama iliyowekwa ndai yetu na Mungu ili kutuvutia kwake [2]. Je, tunawezaje kukubali kiu hii ituchimbe, bila kutafuta njia za (...)
17 June 2010