Alama za picha wakati wa kuabudu
Alama za picha huchangia uzuri wa kuabudu. Ni kama madirisha yanayotuwezesha kuona uhalisia wa ufalme wa Mungu, na kuufanya kuwepo katika sala zetu humu duniani.
Japokuwa alama za picha ni taswira, siyo vitu vya maonyesho au mapambo ni zaidi ya hapo. Ni alama zinazoonyesha kitu fulani kikubwa, uwepo ambao hupelekea macho ujumbe wa kiroho ule ule ambao hupelekwa na neno masikioni.
Kulingana na teolojia ya karne ya nane Mtakatifu ‘John Damascene’, msingi wa alama za (...)
14 August 2007